NAMNA YA KUWA BORA ~ Sambala Malumbo


Am Malumbo Sambala

Founder & President of KGIM

Leo nataka Tujifunze kuhusu NAMNA ya KUWA BORA


[7/19, 18:18] Sambala: If you want to change something

You must invest in it,
You must Engage on it,
You can't change what you Avoid.

Kama unataka kubadili kitu unatakiwa uwekeza katika hicho kitu

Lazima ujikita katika hicho kitu
Huwezi kubadilishi kitu unacho kikimbia

[7/19, 18:19] Sambala: Watu wengi wamejawa na wishes not Action.Kwanini maneno yako ni Mengi kuliko matendo yako!!

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema.Let your Action speak more than your words

[7/19, 18:20] Sambala: How to become yourself

These are six  principles that can help you

1.  Understand what you want to do!! What you want to Accomplish


Jua unataka kufanya nini!!

Unataka kufanikisha jambo gani!!

2.  Focus


3.  Perception


4. Planning


5. Actions


6. Consistency


[7/19, 18:23] Sambala: 1. What you want to do!!

What you want to Accomplish
Unataka kufanya jambo gani au kufanikisha jambo gani!!
Hichi ni kitu cha kwanza cha jinsi ya kuwa bora
Huwezi kuwa bora katika kila Eneo
You're not born to Do Everything....Be specific

[7/19, 18:23] Sambala: Sikia kila mtu ana Eneo lake la kuwa bora....Find your area and be best

Kila mtu ana uwanja wake wa nyumbani
Home ground pick

[7/19, 18:24] Sambala: Hebu ngoja nikwambie kitu

Mfano mchukue Nyoka,sungura, samaki,ndege waweke pamoja then waweke sehemu moja halaf wasindanishe kwa kukimbia
Aisee nakuambia Sungura atakuwa wa kwanza sanaki anaweza kuwa wa mwisho.Unaweza ukampongeza sungura na kumuita Genius.

Unaweza ukamuita samaki kuwa ni kilaza na kumcheka sana

[7/19, 18:25] Sambala: Lakini mchukue hiyo sungura mshindi unaimuita genius mpeleke kwenye maji atakuwa wa mwisho na samaki atakuwa mshindi.Samaki ataonyesha utalamu wake na kuwaonyesha kwamba yeye ni Best

[7/19, 18:25] Sambala: Halafu wachukue tena hao wanyama then wapeleke kweny majani.Aisee huko nyoka atawaacha wote

Nyoka ataonyesha kona za majani zote Kwasababu ndio uwanja wake.

[7/19, 18:25] Sambala: How about birds.Nyani akaiwa angani ni shida tupu.Ukimlazimisha nyoka au sungura kuruka kama ndege anaweza kujiona yeye ni kilaza sana.


[7/19, 18:27] Sambala: Sasa umeona hao wanyama Point yangu ni hii.Kila mtu anasehemu yake.Kila mtu ana Eneo lake la kujidai

Watu wengi hawayajui maeneo yao.

[7/19, 18:27] Sambala: Sikia tafuta Eneo lako na kuwa bora.

Inawezekana wewe ni samaki kwanini unahangaika kukimbia!!

[7/19, 18:27] Sambala: Kila mtu anakitu kapewa na Mungu

There something inside you
Kuna kitu ndani yako Mungu kakupa
Sasa sikia ni majibu wako kukigundua na kukifanyia kazi
Aisee Dada, Kaka ,Tafuta Eneo lako na kuwa bora

[7/19, 18:28] Sambala: Kuna Eneo lipo kwa ajiri yako

Huko kuzaliwa kwako ni uhakika mwamba Mungu kashaandaa sehemu inayokufaa wewe.... Kitu kinacho kufaa wewe kukifanya.
Ukisoma kitabu cha mwanzo utagundua kuwa kwa Mungu siku ilikuwa haishi mpaka kile alichotaka kukitengeneza kinakamilika
So your destiny is already created it's your purpose to figure it out.

[7/19, 18:28] Sambala: There is a room for you

Hivi unamjua mirraldAyo vipi leo angekuwa anaangaika kusomea Udakitari!!Unamjua Mbwana samatta hivi ungekuwaje kama Leo ungekuwa yupo anasomea uhandisi/engineer!!

[7/19, 18:29] Sambala: Unamjua Lionel messi vipi ingekuwa Leo anaangaika kuwa mitindo ya nguo!!Vipi kuhus Christian Ronaldo Leo angekuwa anaangaika kuwa mwanasiasa.Yaani inawezekana wangekuwa wana mlaumu sana Mungu kwann walizaliwa.


[7/19, 18:29] Sambala: Unajua usipojua sehemu yako

Unaweza ukamlaumu Mungu kwanini aliamua wewe uzaliwe
Maana kila unachokifanya unaona ufanikiwe
Unaona mambo magumu.Unabaki kulalamika

[7/19, 18:30] Sambala: Stop complaining about your life.....

Acha kulaumu tena.Tafuta Eneo lako na kuwa bora