Siku
moja tulikuwa tunawinda mimi na rafiki yangu Alex.Wakati tuko tunawinda na mbwa
wa jirani maarufu kwa jina la chui ,mbwa alimkurupua swala akiwa amejilaza mahali
.Swala alikimbia mbio na mbwa wetu
akakimbia sana akiwa anamkimbiza Swala huyo .Sisi tukawa nyuma tukijua tulikuwa
tumepata kitoweo siku hiyo maana mbwa alikuwa anakaribia kumkamata yule Swala .
Wakati
mbwa akiwa anakimbizana na swala tulikutana na mto mkubwa ,Swala akaruka mto na
mbwa akaruka lakini sisi tukashindwa kuruka .Mbwa alivyoona hatumfuatilii ukawa
mwisho akarudi tukawa tumemkosa swala kwa kuwa tulikosa DARAJA la kuvukia ule
mto.

Nakumbuka
habari ya wana wa Israel waliokuwa wakitoka Misri kwenye nchi ya utumwa kwenda
Kanani nchi ya Maziwa na asali waliyokuwa wameahidiwa walipokutana na Bahari ya
Shamu hawakuendelea mpaka hapo njia mbdala ilipoletwa na Mungu mwenyewe.Mungu
alifanyika kuwa daraja la Wana wa Israel.
Ndiyo,Hautatoka
hapo ulipo kama hutapata daraja la kukuvusha kule unakotaka kwenda .Unahitaji
sasa kujiunga na KUNDI LA WHATSSAP LA DARAJA LA MAISHA ujifunze daraja ambalo
litakuvusha kwenda ng'ambo.
Ng'ambo
yako ni ndoto ambayo unataka siku moja itimie ,ng'ambo yako ni yale maisha
unayotaka kuishi kesho .Hautaweza kuyafikia kama hutapata daraja la kukupeleka
kule unakotoka kufika .
Joas(Jyb)
ameanzisha kundi mahususi kwa ajili yako ili akupe daraja litakalokuvusha
kwenda ng'ambo na pia kwa kujiunga na kundi hili utajipatia nakala ya kitabu
cha INUKA TOLEO LA PILI(Harcopy) kitakachotumwa kokote ulipo kuanzia tarehe
26.9.2017 siku ya kuzaliwa kwangu ikiwa ni zawadi nitakayokupa kwako.Mbali na
hayo kila siku nakuwa natuma vitabu vya waandishi mbalimbali vifanyike daraja
kwako.
Kujiunga
na kundi hili unapaswa kulipa kiasi cha shillingi elfu kumi kwa namba zangu
hizi
1.0656110906(Tigo
Pesa) Joas
2.0753836463(Mpesa)
Jina Joas
Kwa
kulipa kiingilio hicho utakuwa umekata tiketi ya kujiunga na kundi hilo la
kudumu la DALAJA LA MAISHA .Zipo nafasi mia moja tu na mwisho wa kufanya malipo
ni tarehe 15.8.2017 baada ya hapo haitapokelewa hela yoyote.
Watu
wengi wameonesha mwitikio mkubwa kujiunga na kundi hili ambalo litaleta mageuzi
makubwa na kutengeneza waty wenye uwezo wa kutenda.
Acha
kufikiria ukubwa au udogo wa elfu kumi angalia matokeo makubwa yatakayoletwa na
elfu Kumi kama utajiunga na Kundi la DARAJA LA MAISHA
Joas
0656110906/0753836463
"TUJIUNGE
NA DARAJA LA MAISHA TUINUKE WOTE"